Copyright ©APKPanda. All Rights Reserved
您听说过Nyimbo Za Kristo - v1 . 4 . 5或NovelStar-Read your dream, Friday Night Funkin Guide 2021, Animal Revolt Battle Simulator game walkthrough,
Wattpad v9.42.0 APK + MOD (Premium/AD-自由)
MOD APK, JW Library, GALATEA - Immersive Love, Scary & Chat Stories,是类别图书与工具书中最酷的应用之一。
当然,您知道并非所有游戏或应用程序都兼容所有手机。游戏或应用程序有时在您的设备上不可用,这取决于系统版本。Android操作系统,屏幕分辨率或国家/地区Google Play允许访问。这就是APKPanda提供Android APK文件供您下载且不遵守这些限制的原因。>
Nyimbo Za Kristo - v1 . 4 . 5的最新版本为1 . 4 . 5,发行日期为2021-01-09,大小为5.6 MB。由Awesomecode Tanzania开发,Nyimbo Za Kristo - v1 . 4 . 5至少需要Android版本Android 4.1+。因此,如有必要,您必须更新手机。
负载量很大,大约有1000次下载。您可以根据需要更新已单独下载或安装在Android设备上的应用程序。更新应用程序使您可以访问最新功能,并提高应用程序的安全性和稳定性。
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TAP).
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Haitahusisha Matangazo- “..mmepata bure toeni bure.” – Mathayo 10:8
There will be No ads in this app "Freely you received, so freely give." - Matthew 10:8
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa
utukufu wa Mungu.
Highlights last viewed song (Angaza wimbo wa mwisho kufunguliwa).
Show moreOTHER VERSIONS